Tayari Edward Lowassa kaingia kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, ninazo pichaz nyingine hapa


Tayari Edward Lowassa kaingia kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, ninazo pichaz nyingine hapa


AW1A0129
Ninayo Ripoti nyingine toka Uwanja wa Kumbukumbu yaSheikh Amri Abeid Arusha, watu walianza kuingia toka saa moja asubuhi.
Mbunge Edward Lowassa tayari kaingia Uwanjani, kinachosubiriwa ni hotuba yake.
Kulikuwa na mvua ndogo hivi lakini watu wameendelea kuingia, mpaka sasa hii Uwanja umejaa, watu ni wengi na wapo baadhi ya viongozi mbalimbali ambao tayari wamefika ikiwemo Mzee Kingunge.

AW1A0001
AW1A0006AW1A0018
AW1A0046AW1A0082AW1A0098AW1A0127AW1A0129
DCIM100GOPROG0058361.
DCIM100GOPROG0088366.
DCIM100GOPROG0098367.
DCIM100GOPROG0128370.
DCIM100GOPROG0188376.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

List ya washindi wote #BillboardAwards2015.. Pichaz za mastaa wote Red carpet

HOTEL YA KWANZA KWA UBORA DUNIANI IPO TANZANIA.

rangi za nguo zinazofaa kuvaliwa Siku Ya usaili