ANGALIA UZI MPYA WA MANCHESTER UNITED MSIMU UJAO!
 
Manchester United wana jezi mpya iliyotengenezwa na Adidas kwa ajili ya msimu ujao.
Kampuni hiyo ya vifaa vya michezo imefikia dili kubwa la jezi na Manchester United ambalo halijawahi kutokea katika historia ya mpira na sasa katika mitandao ya kijamii na Internet kuna tetesi mbalimbali kuhusu jezi mpya za Manchester United zitakazotumiwa msimu wa 2015/2016. 
Kwa mujibu wa  FootyHeadlines.com  wamepambana kuingia uvunguni na kupata picha ya jezi mpya ya Manchester United iliyotengenezwa na wadhamini wake Adidas kwa ajili ya msimu ujao.
Manchester United kwasasa ipo nafasi ya nne katika msimamo wa ligi kuu, vinginevyo yatokeo maajabu, wanarudi kwenye michuano ya ligi ya mabingwa msimu ujao.
Mechi mbili za mwisho za Manchester United ni dhidi ya Arsenal na Hull City.
Jezi yenyewe ni ya njano.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

List ya washindi wote #BillboardAwards2015.. Pichaz za mastaa wote Red carpet

HOTEL YA KWANZA KWA UBORA DUNIANI IPO TANZANIA.

rangi za nguo zinazofaa kuvaliwa Siku Ya usaili