Profesa Jay na Ubunge Mikumi, Basata kuhusu ishu ya Shilole na Video ya Ruby je??.. #255


music
Profesa Jay mwaka 2015 ameamua kuja na headlines mpya na hii ni baada ya kutangaza nia ya kugombea ubunge kwenye jimbo la Mikumi kupitia Chadema,Simple X na Black Rhyino ni wadogo wa Profesa Jay ambaoProfesa Jay aliamua kuwafungulia njia kwa kuwashirikisha kwenye ngoma zake kisha akawaacha wakaendelea wenyewe.
Sasa swali lililokuja ni kwamba atakapofanikiwa kuwaMbunge ana mipango ya kuwashika mkono wadogo zake wengine ambao anaamini wanaweza hilo akasema Yeye hajaangalia ndugu alionao yeye mipango yake ni kuwasaidia Watanzania wote kwa nafasi zao.
Headline za Shilole Mei 14  zilitolewa ufafanuzi na Baraza la sanaa la Taifa na kusema kuwa wamehudhunishwa sana leo Basata wamesema kuwa hii itakua ni mara ya pili kwa Shilole kuitwa na kuelekezwa namna ya mavazi anayovaa jukwaani.
Rubby kasema kuwa video yake ya Na Yule imekamilika na rasmi imetoka leo,imeongozwa na Mkenya Kelvin Bosco JNR na kasema ilikamilika wiki moja iliyopita zaidi walikua wakijipanga siku rasmi ya kuachia.
Unaweza kubonyeza play hapo chini mtu wangu kuzisikiliza stori hizi lakini unaweza kusikiliza Clouds Fmkupitia 96.1 Ukiwa Tanga

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

List ya washindi wote #BillboardAwards2015.. Pichaz za mastaa wote Red carpet

HOTEL YA KWANZA KWA UBORA DUNIANI IPO TANZANIA.

rangi za nguo zinazofaa kuvaliwa Siku Ya usaili