List ya washindi wote #BillboardAwards2015.. Pichaz za mastaa wote Red carpet
Billboard Music Awards 2015 ndio habari kubwa kwenye headlines za burudani Marekani kuanzia jana tarehe May 17 2015.. Sherehe ya Tuzo hizo kubwa kwenye muziki zimefanyika ukumbi wa Grand Garden Arena, Las Vegas.
MC waliokuwa kwenye stage mwanzo mpaka mwisho ilikuwa ni rapper Ludacris na Chrissy Teigan.
Naambiwa Taylor Swift kaongoza kuzikusanya Tuzo nyingi zaidi kuliko msanii yoyote.. ana jumla ya Tuzo 8,Sam Smith na Iggy Azalea wao wana Tuzo mbili kila mmoja.

Taylor Swift na Tuzo zake

IGGY AZALEA

SAM SMITH
Hapa ninazo zao nyingine kwenye mwonekano wa Red Carpet

TAYLOR SWIFT

CHRIS BROWN na mtoto wake

JENIFFER LOPEZ

IGGY AZALEA

Rapper 50 CENT

Rapper WIZ KHALIFA

JOHN LEGEND na Mke Wake

KYLIE JENNER

LUDACRIS

Staa wa muziki wa R&B, Mariah Carey
Maoni
Chapisha Maoni