Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2015

Tayari Edward Lowassa kaingia kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, ninazo pichaz nyingine hapa

Picha
Tayari Edward Lowassa kaingia kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, ninazo pichaz nyingine hapa Ninayo Ripoti nyingine toka Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Arusha , watu walianza kuingia toka saa moja asubuhi. Mbunge  Edward Lowassa  tayari kaingia Uwanjani, kinachosubiriwa ni hotuba yake. Kulikuwa na mvua ndogo hivi lakini watu wameendelea kuingia, mpaka sasa hii Uwanja umejaa, watu ni wengi na wapo baadhi ya viongozi mbalimbali ambao tayari wamefika ikiwemo  Mzee Kingunge .

Bil 280 zitamfanya Cristiano Ronaldo avue jezi ya Real Madrid na kuhama Spain?

Picha
Bil 280 zitamfanya Cristiano Ronaldo avue jezi ya Real Madrid na kuhama Spain? Ziliwahi kukaa story kwenye magazeti na mitandao mikubwa ya habari duniani kwamba staa wa soka, mreno Cristiano Ronaldo  atarudi kuichezea klabu yake ya zamani,  Man United .. ikapita muda hilo halikutokea. Imekuja nyingine, tayari imeanza kuchukua headlines kwamba  Ronaldo  ataondoka  Madrid , safari yake inakuwa kwenda wapi? Mezani dau limewekawa kiasi gani? Majibu niko nayo tayari. “ PSG offer €125 for Ronaldo ”—kichwa cha habari chenye wino mzito kwenye gazeti la michezo la Madrid, Hispania… story ndani ni kwamba Klabu ya  PSG  ya Ufaransa wametangaza dau la Euro Mil. 125 (sawa na kama Bil. 280 hivi) kwa ajili ya kumvuta staa huyo ajiunge na kikosi chao japo mwenyewe bado hajatolea majibu kuhusu ishu hiyo.. tetesi nyingi za ishu za soka mara nyingi zinakuwa na chembe chembe za ukweli hivi, na hii je? Story nyingine inasema staa huyo ni kama hayuko tayari kuondo...

KIBONZO CHA KIPANYA

Picha

Hizi ni stori zote kutoka kwenye #Magazeti ya Tanzania leo May 21 2015>> Udaku, Hardnews, Michezo..

Picha
Kurasa za leo unaweza kupitia hapa kuona nini kimeandikwa Magazetini