Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia 2015

Hizi ndio stori kubwa kwenye kurasa za Magazeti 20 ya leo kwenye Udaku,

Picha
Ijumaa  JUNE 05 2015   nimekusogezea tena hii post ya Magazeti mtu wa nguvu, ziko story zote zenye uzito Magazetini kuanzia  Udaku, Hardnews na Michezo. Hapa ninayo  Magazeti haya 20 na stori zake kubwakubwa kwenye kurasa za mwanzo na mwisho.

Tayari Edward Lowassa kaingia kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, ninazo pichaz nyingine hapa

Picha
Tayari Edward Lowassa kaingia kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, ninazo pichaz nyingine hapa Ninayo Ripoti nyingine toka Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Arusha , watu walianza kuingia toka saa moja asubuhi. Mbunge  Edward Lowassa  tayari kaingia Uwanjani, kinachosubiriwa ni hotuba yake. Kulikuwa na mvua ndogo hivi lakini watu wameendelea kuingia, mpaka sasa hii Uwanja umejaa, watu ni wengi na wapo baadhi ya viongozi mbalimbali ambao tayari wamefika ikiwemo  Mzee Kingunge .